Jana usiku yametokea mauwaji ya mtu mmoja mwanaume kwa kupigwa risasi na watu wanaosadikiwa kuwa majambazi katika Bar ya Kadabla iliyopo katikati ya Mbezi kwa Msuguli na Kibanda cha Mkaa.Mauwaji hayo yametokea kati ya majira ya saa tano...
Loading...
Wimbo wa Aje Ilikuwa Suprise kwa Wema Sepetu – Alikiba Afunguka

Akiongea kwenye kipindi cha Friday Night Live, Alikiba almesema wimbo huo hajamuimbia Jokate na wala hajawahi kumuimbia mtu yeyote, bali aliimba kwa ajili ya mashabiki wake.” Sijamuimbia mtu yeyote kwa kweli, mi nimeimba kwa ajili ya...
BREAKING NEWS NI ZAIDI YA AIBU NI LAANA CHAFU ALIOYOFANYA MSHAURI WA RAIS SHEIN KUTWA AKILA ARODA BINTI MDOGO WA MIAKA 20 HILI NI TUKIO LA PILI TENA ZANZIBAR....
SERIKALI ya Dk. Ali Mohammed Shein imezama kwenye aibu, ni baada ya mshauri wake Dadi Faki Dadi kukamatwa kwa tuhuma za kufanya ngono na mwanaye, anaandika Pendo Omary.
Faki alikuwa Mkuu Mkoa wa Kaskazini Pemba lakini baada ya kukosa nafasi...
Mambo ya Msingi Kuyafanya Kabla ya Kuoa/Kuolewa

Ndoa nyingi zinaingia kwenye migogoro kwa sababu ya mambo ya kukurupuka na kufanya haraka bila wahusika kufahamiana vizuri, hebu tuzingatie yafuatayo ili tusiseme 'NINGEJUA NISINGEOA/NISINGEOLEWA'1. Chanzo cha uhusiano wenu kiwe ni upendo...
HABARI YA HIWVI PUNDE: MTOTO WA MIAKA MINNE ATOA SIRI NZITO NA MKASA WOTE WA TUKIO LA MAUWAJI YA ANETH MSUYA MSIKILIZE HAPA MTOTO HUYU HUU NI ZAIDI YA UNYAMA ALIOFANYIWA DADA HUYU....

May 26 kulitokea mauaji ya kutisha ya kukatwa mapanga kwa mwanadada Aneth ambaye ni ndugu wa Tajiri mmoja ambaye naye aliuliwa kwa kupigwa risasi. Aneth amepigwa mapaga na watu wasiojulika na kukimbia....
BREAKING NEWS: RAIS MAGUFULI SASA HASHIKIKI TENA HII MOJA YA TUKIO LA KIHISTORIA KATIKA UTAWALA WAKE MPAKA SASA AMUA WAZIWAZI KUPINGANA NA UKWELI WA JAMBO HILI NA KUAMUA HAYA....

anayepingana na ukweli kwamba ‘Wazee ni hazina ya Taifa la Tanzania’ lakini acha ukweli uzungumzwe, kwani ‘kubebana’ na‘kuleana’ kumetufikisha hapa tulipo.
Tabia iliyojengwa na wazee ya kufanya kazi kwa mazoea huku...
Isabela Afunguka 'Inaniuma Sana Kalama Kuniacha Mimi na Kumuoa Shoga Yangu'

Luteni Kalama na Mkewe aliyefunga naye ndoa hivi karibuni
SIKU chache baada ya Mbongo Fleva, Kalama Bakari ‘Luteni Kalama’ kuvuta jiko, hatimaye, aliyekuwa mchumba wa muda mrefu wa msanii huyo ameibuka na kusema anaumia kuona aliyeolewa...
John Heche: Rais wa China Alipokuja Tanzania Aliondoka na Pembe za Tembo

Akichangia kwenye bajeti ya mali asili na utalii mbunge John Heche amezungumzia operesheni tokomeza jinsi ilivochezea watu rafu na kuuawa kama wanyama.
Hapo hapo amegusia kuwa Rais wa China alipokuja Tanzania aliondoka na pembe za...
Video : Idriss Alimfanyia Wema Sepetu Haya, Mara Baada ya Kusikia Wema Sepetu Katukanwa na Harmonize

Baada ya kusambaa kwa video ya Harmonize akimsema vibaya Wema Sepetu, watu wengi walilaani kitendo hicho huku kuna baadhi yao wakimpongeza Harmonize. Habari kutoka kwa marafiki wa karibu wa Wema Sepetu zinasema kua aliumia sana alipoiona...
Video : Sikiliza Kionjo cha Wimbo Mpya wa Nay Wamitego - Kati Patamu...TCRA Watauacha??

Wengi wanamjua Nay Wa Mitego kwa kutoa nyimbo nyingi sana zikiwa za utata, mara nyingi hua anawachana watu maarufu bila kuwaogopa au ujumbe ndani ya nyimbo kua na utata. Haya basi katika pitapita zetu tumepata kionjo cha wimbo wake mpya...