Wimbo huo unaenda kwa jina la pale kati patamu, kwa tafsiri za kwetu mtaani nina uhakika kabisa kua huu wimbo ukiachiwa utakua gumzo sana . Sio tu mtaani hata huko mitandaoni ambapo nadhani TCRA wanaweza kufanya yao. Unaweza skiliza video ya wimbo huo hapa chini......
Loading...
Home » Unlabelled » Video : Sikiliza Kionjo cha Wimbo Mpya wa Nay Wamitego - Kati Patamu...TCRA Watauacha??
Video : Sikiliza Kionjo cha Wimbo Mpya wa Nay Wamitego - Kati Patamu...TCRA Watauacha??

Post a Comment