Usiku wa March 20 kundi la Navy Kenzo liliendelea na Tour yao ya Kamatia Chini Lights UP Tour ndani ya Club 71 Dar , nakufanya bonge la show na kuwaburudisha mashabiki waliokuwa ndani ya Club 71 . Mtu wangu wa nguvu hizi ni Pichaz 20 ya kilivyo happen .
Loading...
Post a Comment