Loading...

BREAKING NEWS: UMATI WA WABUNGE LEO UMEMIMINIKA NYUMBANI KWA ALIEKUWA WAZIRI YA MAMBO YA NDANI YA NCHI CHARLES KITWANGA NA HIKI NDICHO ALIOCHOKIONGEA WAZIRI HUYU BAADA YA UMATI HUU KUMIMINIKA NYUMBANI KWA KITWANGA SHUHUDIA TUKIO HILI LA AINA YAKE....

Wabunge mjini Dodoma wamiminika nyumbani kwa aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani Charles kitwanga ,mawaziri na wabunge wamechukua hatua ya kwenda kumuona aliyekuwa waziri mwenzao na alisikika waziri mmoja akisema kuwa

" hili si jambo la kucheka kwani hii ni kama ajali ya kisiasa iliyomtokea mwenzetu kwani toka atenguliwe nafasi yake hayuko sawa lakini tunaimani atakuwa sawa tu, ndiyo maana tumekuja kumpa pole na kumfariji" alisikika waziri mmoja.

1 comments:

ni kweli just an accident asikate tamaa bado tunamhitaji

Reply

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright NEWZ | Designed By AFROPIXELS MEDIA CO. LTD
Back To Top