Loading...

HABARI KUTOKA ZANZIBAR: TUME YA UCHAGUZI Z'BAR (ZEC) YAVUNJA REKODI YA DUNIA IMETANGAZA MAJINA 22 YA WAJUMBE WA VITI MAALUMU WA BARAZA LA WAWAKILISHI ILA WOTE WANATOKA CCM>>>HII HAPA ORODHA YA MAJINA



Mwenyekiti ZEC, Jecha Salim Jecha,
Zanzibar. Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imetangaza majina 22 ya wajumbe wa viti maalumu wa Baraza la Wawakilishi, wote kutoka CCM.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jecha Salim Jecha, wajumbe hao ni Salama Aboud Talib, Shadya Mohamed Suleiman, Bihindi Hamad Khamis, Salma Mussa Bilal, Mwanaidi Kassim Mussa, Panya Ali Abdalla, Mgeni Hassan Juma na Zaina Abdalla Salum.
Wengine ni Salha Mohammed Mwinyijuma, Zulfa Mmaka Omar, Lulu Msham Abdalla, Wanu Hafidh Ameir, Saada Ramadhani Mwenda, Tatu Mohamed Ussi na Amina Idd Mabrouk.
Jecha aliwatangaza wawakilishi wengine wa viti maalumu kuwa ni Choum Kombo Khamis, Mtumwa Suleiman Makame, Mwantatu Mbaraka Khamis, Riziki Pembe Juma, Viwe Khamis Abdalla, Hamida Abdalla Issa na Hidaya Ali Makame.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright NEWZ | Designed By AFROPIXELS MEDIA CO. LTD
Back To Top