Loading...

Ireland yakumbuka vita vya uhuru

Image captionIreland yakumbuka vita vya uhuru
Watu wa Ireland wanaadhimisha mwamko wa Pasaka 'Easter Rising',uliotokea karne moja iliyopita, iliyomaliza utawala wa Uingereza katika nchi hiyo.
Gwaride maalumu inafanywa katika mji mkuu wa jamhuri ya Ireland, Dublin, na maelfu ya watu wamesimama mabarabarani kutazama wanajeshi, wa sasa na waliostaafu, wakielekea Posta Kuu, ambapo mwamko huo ulianza na kumalizika.
Image captionGwaride maalumu inafanywa katika mji mkuu wa jamhuri ya Ireland, Dublin
Muammko huo uliyotokea 1916 ulipelekea kuundwa kwa Jamhuri ya Ireland.
Image captionTangazo la kuundwa kwa taifa huru lilisomwa upya katika maadhimisho maalum nje ya jengo la Posta Kuu.
Tangazo la kuundwa kwa taifa huru lilisomwa upya katika maadhimisho maalum nje ya jengo la Posta Kuu.
Image captionMaelfu ya watu wamesimama mabarabarani kutazama wanajeshi, wa sasa na waliostaafu, wakielekea Posta Kuu, ambapo mwamko huo ulianza na kumalizika.
Viongozi wa muamko huo walijisalimisha kwa utawala siku tano baadaye baada ya mashambulio makali kutoka kwa majeshi ya Uingereza.
Image captionMuammko huo uliyotokea 1916 ulipelekea kuundwa kwa Jamhuri ya Ireland.
Waziri mkuu wa Ireland Kaskazini ambayo ni sehemu ya Uingereza alikataa kujiunga na maadhimisho hayo ya miaka mia moja 100 tangu vita vya uhuru kutoka kwa ukoloni wa Muingereza kuanza.
Image captionWaziri mkuu wa Ireland Kaskazini ambayo ni sehemu ya Uingereza alikataa kujiunga na maadhimisho hayo
Waziri huyo anasema kuwa muamko huo ndio uliochochea machafuko yaliyotokea kati ya miaka ya 1970 na 1980.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright NEWZ | Designed By AFROPIXELS MEDIA CO. LTD
Back To Top