Rais Magufuli asema watumishi hewa wamejaa mpaka Ikulu, Ofisi ya Waziri mkuu, Majeshini etc.Amuagiza Katibu mkuu kiongozi kuunda "task force" yenye ulinzi maalumu ku-deal na watumishi hewa.10% ya mishahara yote nchini hulipwa kwa watumishi hewa.Serikali yapoteza Tshs Billioni 54 kwa mwezi, sawa na zaidi ya Billioni 648 kwa mwaka kulipa mishahara ya watumishi hewa.
Loading...
Home
» MATUKIO
» NEWS
» HABARI ZA HIVI PUNDE: IKULU NAKO KIMENUKA MUDA HUU RAIS MAGUFULI KIBOKO "WATUMISHI HEWA WAPO MPAKA IKULU"
HABARI ZA HIVI PUNDE: IKULU NAKO KIMENUKA MUDA HUU RAIS MAGUFULI KIBOKO "WATUMISHI HEWA WAPO MPAKA IKULU"

Post a Comment