Loading...

BREAKING NEWS: SIRI YAFICHUKA MWANDISHI WA KITUO CHA SAUTI YA UJERUMANI (DW) ALIYETEKWA JUZI APATIKANA

SalmaImage copyrightDW Facebook
Image captionSalma alikamatwa na watu wasiojulikana Ijumaa
Mwandishi aliyewakilisha kituo cha redio cha Sauti ya Ujerumani (Deutsche Welle) visiwani Zanzibar Salma Said na ambaye alitoweka Ijumaa, amepatikana.
Kamanda wa polisi wa Dar Simon Siro amethibitisha kupatikana kwa mwanahabari huyo.
BBC imezungumza na Mume wa Salma Said, Bw Ali Salim Khamis, ambaye amesema kwa sasa Salma yumo anatoa maelezo kwa polisi Dar es Salaam.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright NEWZ | Designed By AFROPIXELS MEDIA CO. LTD
Back To Top