Loading...

Nani wa Kutumbua Jipu Kwenye Wizara ya Ujenzi iliyokuwa Chini ya Rais Magufuli Wakati Huwo Akiwa Waziri?


Nani wa kutumbua jipu kwenye Wizara ya ujenzi iliyokuwa Chini ya Rais Magufuli wakati huwo akiwa Waziri... Ripoti ya Mkaguzi wa Serikali CAG imeonyesha ubadhirifu Mkubwa kwenye Wizara hiyo kuliko Wizara yeyote ile.

Watanzania mtapa kujua mengi nyakati muhimu zikifika, endeleeni na mahaba ya utamu wa karanga...

Gari Bovu haliwezi kuwa jipya kwa kutafuta Dereva mpya. Mabadiliko ya Taifa hili ni CCM kuondoka Madarakani.

Ndiyo maana Wamehakikisha Bunge halionyeshwi live kwakuwa wanajua Uchafu waliyoufanya utawekwa wazi na Watanzania hawatKuwa na habari nao kwakuwa watajua ukweli...

Kwanini hutaki Bunge lionyeshwe live kama wewe ni msafi? Na unapenda uwazi? TURUDISHIE BUNGE LETU LIVE TUWAONYESHE WATANZANIA MADUDU WANAVYODANGANYWA

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright NEWZ | Designed By AFROPIXELS MEDIA CO. LTD
Back To Top