Watanzania mtapa kujua mengi nyakati muhimu zikifika, endeleeni na mahaba ya utamu wa karanga...
Gari Bovu haliwezi kuwa jipya kwa kutafuta Dereva mpya. Mabadiliko ya Taifa hili ni CCM kuondoka Madarakani.
Ndiyo maana Wamehakikisha Bunge halionyeshwi live kwakuwa wanajua Uchafu waliyoufanya utawekwa wazi na Watanzania hawatKuwa na habari nao kwakuwa watajua ukweli...
Kwanini hutaki Bunge lionyeshwe live kama wewe ni msafi? Na unapenda uwazi? TURUDISHIE BUNGE LETU LIVE TUWAONYESHE WATANZANIA MADUDU WANAVYODANGANYWA
Chanzo:Henry Kilewo
Post a Comment