Jina la Rais wa Tanzania limekuwa gumzo sehemu nyingi duniani kutoka na staili yake ya kuongoza na kufatilia mambo, nchini kwenya mashabiki wa Timu ya mpira ya Gorimahia wameunda Tawi la timu hiyo na kujiita jina la magufuli kama inavyoosha hapo kwenye picha, hiyo ikiwa ni kuonyesha jinsi gani wanavyomkubali Rais huyo na kauli mbiu yake ya hapa kazi tu..
Loading...
Rais Magufuli Anavyokubalika Kenya..Timu ya Mpira yaita Tawi lake jina la Magufuri

Post a Comment