Usiku wa April 29 2016 watu wangu waliozaliwa March na April walikutana kipande cha Regency park hotel mikocheni Dar es salaam Kwenye Pool Party. Usiku huo ulipambwa na wasanii kutoka kwenye kiwanda cha Bongo Fleva akiwemo Ben Paul, Izzo Bizness, Navy Kenzo na wengineo.
Loading...
Post a Comment