Loading...

Wananchi walivyotekeleza agizo la Mkuu wa Mkoa Dar es salaam, Paul Makonda…(+Picha)

April 30, 2016 ni headlines za usafi kila sehemu ambapo leo wananchi wa jiji la Dar es salaam, viongozi mbalimbali na wasanii wameungana kuhakikisha mazingira yanakuwa safi na salama… camera ya millardayo.com imefika Wilaya ya Temeke Dar es Salaam
.
.
.
.
.
.Muonekano wa barabara ya wilaya ya Temeke
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.Wakazi wa wilaya ya Temeke wakiwa katika msafara wa kuelekea viwanja vyaLeaders Club baada ya kufanya usafi katika maeneo yao
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
..
..
.
.Wakazi wa wilaya ya Temeke wakitekeleza agizo la Mkuu wa Mkoa, Rc Makonda la kuhakikisha mazingira yanayokuwa safi na salama
.
.
.
.Viongozi mbalimbal wakiwa na Mkuu wa wilaya ya Temeke, Sophia Mjema (alievaa T Shirt ya 102.5) wakielekea katika viwanja vya Leaders 
.
.
.
.
..
.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright NEWZ | Designed By AFROPIXELS MEDIA CO. LTD
Back To Top