Loading...

BREAKING NEWS: HABARI YA HIVI PUNDE: AJALI MBAYA YA BASI LA DART YATOKEA YAKANYAGA MTOTO NA MAMA AKE SHUHUDIA TUKIO HILI MTOTO APOTEZA MAISHA PAPOHAPO...


Basi la mwendo kasi ( DART)  limemgonga na kumuua mtoto huku mama yake akinusurika baada ya pikipiki waliyokuwa wamepanda kushindwa kulipita basi hilo

Ajali hiyo imetoke leo katika  eneo la Shekilango jijini Dar es Sallam.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright NEWZ | Designed By AFROPIXELS MEDIA CO. LTD
Back To Top