Mama Wema Sepetu Ameongea na Kusema kuwa anawashangaa wale wote wanaosema mtoto wake ameongeza makalio kwa dawa wakati wanaona kabisa kuwa amerisi makalio hayo kutoka kwa mama yake...Mama huyo amekwenda mbali zaidi na kuweka video yake hapa akionyesha jinsi alivyo mashalaaa......
Tazama Video Hapa:
Post a Comment