Nina mke mmoja ambae tunapendana sana tatizo ana WIVU kupindukia.
Hii inanifanya nionekane chizi mbele za macho ya watu ambao hawajui kinachoendelea..Nikikataa kufanya anachotaka ananuna siku nzima na Papucha nanyimwa
- Ninapoingia tu home ananidaka na kuninusa nguo,akisikia pafyum kwa mbali MATATIZO,mim situmii pafyum ila usafiri wa kwetu ni shida,mnabana hadi kupumua shida Matokeo yake sipendi watu waniguse kitu ambacho ni kigumu kwenye usafiri wa jumuiya!
- Kila ninapoenda anataka nitume picha kwa whatsap hata kama kwenye daladala nimesimama anataka nipenye dirishan nipige hilo eneo au nijipige kitu ambacho watu hawakubali maana wanaona unawapiga wao!Hata wakati mwingine ananiambia chukua jiwe weka sehem flani then piga picha.
Hii inanifanya nionekane chizi mbele za macho ya watu ambao hawajui kinachoendelea..Nikikataa kufanya anachotaka ananuna siku nzima na Papucha nanyimwa
Post a Comment