Loading...

BREAKING NEWS: KIMENUKA TENA "ZITTO KABWE" NA "HUSSEIN MOHAMED BASHE" WAJIUZULU RASMI NAFASI ZAO: HIZI HAPA BARUA RASMI ZA KUJIUZULU KWAO



Mbunge Hussein Bashe wa nzega Mjini alikuwa wa kwanza kuwasilisha barua yake kwa Spika wa bunge Job Ndugai na kutaka kujuizulu ujumbe wa kamati ili kupisha uchunguzi zaidi.

Basha alisema kutokana na Tuhuma hizo.

"Kutokana na tuhuma zilizokuwepo za rushwa dhidi ya Kamati ninayohudumu, leo nimemwandikia Mh Spika wa Bunge barua ya kujiuzulu kupisha uchunguzi"




Nae Mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe naye akaawasilisha barua kujiuzulu.

"Kuna tuhuma za rushwa dhidi ya Kamati mbalimbali za Bunge ikiwemo kamati ninayohudumu. Nimemwandikia Spika Kuomba Uchunguzi juu Ya tuhuma hizo na kwamba achukue hatua kali dhidi ya yeyote atakayekutwa kuhusika na vitendo vya rushwa. Nimejiuzulu Ujumbe wa Kamati ili Kutoa Nafasi Ya Uchunguzi Husika."



CHANZO: TANURU LA FIKRA

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright NEWZ | Designed By AFROPIXELS MEDIA CO. LTD
Back To Top