Loading...

HABARI ZA HIVI PUNDE KUTOKA BUNGENI: BUNGENI KIMEWAKA TENA JIPU ZITO LIMETUMBULIWA KUTOKA KWENYE RIPOTI YA "CAG"


Alhaj Prof.Mussa Juma Assad, anamwaga nondo zilizomo kwenye Ripoti ya CAG.

=Ulaji na uzembe vinatajwa kubeba sehemu kubwa ya ripoti hii.

=Missmaha ya kodi 2014/15 ni asilimia 2 ya pato la taifa kinyume cha asilimia 1

=Halmashauri 40 hivi ndo zenye hati safi kati ya halmashauri zaidi ya 160

=Bidhaa a bilioni 9 za kupelekwa nje ziliuzwa hapa hapa nchini. Upigaji huo wa ukwepaji kodi.

=Bilioni za bilioni 89 za nje hakuna ushahidi kama zilienda rwanda, burundi na uganda.


=Rufaa za kodi nyingi mno zimedoda mahakamani na hivyo kuikosesha serikali kodi

=Deni la taifa juni 2015 trilioni 33.5.

=Ndani ya mwaka mmoja lilikuwa kwa trilioni 7!!!

=Malipo kwa deni kwa mwaka ni trilioni 4.

=Deni na mishahara inamaliza mapato yote ya taifa

=CAG anahoji, tutapata wapi pesa za maendeleo?

=Anataka maduka ya fedha za kigeni yadhibitiwe

=Vyama vya siasa, kimoja tu kimewasilisha hesabu.

=Vyama 21 bado, Msajili afiatilie. Hajakitaja chama kilichowasilisha

=Mishahara hewa taasisi 16. Ni bilioni 390

=Mishahara ambayo haikulipwa na haikurejeshwa hazina ni bilioni 2


=Milioni 700 za makato ya watumishi kwa katavi na kilimanjaro hayakuwasilishwa kwenye mifuko

=Sh milioni 827 za vifaa vya upigaji kura zilitumika kwa kazi isiyo na tija


=Nakala 158,003 hazikusambazwa kwa walengwa wakati wa kura za maoni

=Manunuzi ya bilioni 27 yalifanywa na mashirika ya Umma bila ushindani


=Cheti cha uendeshaji ATC kimeisha muda tangu 2010

=ATC ina Wafanyakazi wengi kuliko kazi zilizopo


=Ni Halmashauri 40 kati ya Halmashauri zaidi ya 160 nchini ndizo zenye hati safi!

=Bidhaa za bilioni 9 za kupelekwa nje ziliuzwa hapahapa nchini. Nia ni kukwepa kodi!

=Bidhaa za Sh. Bilioni 89 za kwenda nje hakuna ushahidi kama zilienda Rwanda, Burundi na Uganda.


=CAG ataka uda irejeshwe serikalini. Mwenyekiti wa Bodi Idd Simba aliwekewa sh milioni 320 ktk akaunti yake binafsi.

=Kampuni ya SAAFI inadaiwa Sh bilioni 17. Hii ni ya mwanasiasa mkongwe, Mzindakaya.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright NEWZ | Designed By AFROPIXELS MEDIA CO. LTD
Back To Top