Loading...

HABARI MPYA: RAIS MAGUFULI KIBOKO AWAACHA HOI WAFANYAKAZI HUKO DODOMA ...TAZAMA VIDEO HII USIKILIZE SENTENSI ZAKE NA MAAMUZI ALIYOCHUKUWA


Mei 1 2016 Maadhimisho ya siku ya wafanyakazi (MEI MOSI) yamefanyika kitaifa mkoani Dodoma na mgeni rasmi alikuwa Rais John Pombe Magufuli, Chama cha Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) kilipata nafasi ya kumweleza Rais Changamoto mbalimbali katika kazi ikiwemo ufinyu wa mapato.
Katika hotuba yake Rais Magufuli amesemasema ‘Katika nchi hii wapo watu wanapata mishahara ya chini sana lakini kuna watu pia wanapata mishahara mikubwa sanaa!! kazi zinafanywa na watu wa chini, wao wanapata mishahara mikubwa
Wale waliokuwa wanapata mishahara mikubwa itakuwa mwisho Milioni 15 kushuka chini ili hizi nyingine tuwasaidie wanaopata mishahara midogo
Tanzania hii ni yetu wote, wasiotaka kufanya kazi kwasababu wamezoea mishahara ya milioni 30 waache kazi hata leo, haiwezekani katika nchi moja mtu anapata mshahara wa milioni 30 alafu mwingine anapata laki tatu ‘
Hapa nimekusogezea hizi picha 15 kutokea katika viwanja vya Jamhuri, Dodoma..


Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright NEWZ | Designed By AFROPIXELS MEDIA CO. LTD
Back To Top