Loading...

HABARI YA HIVI PUNDE: NI BUNGENI TENA UKAWA SASA HAWASHIKIKI TUKIO LA AINA YAKE LAZUA SINTOFAHAMU HOTUBA YA GODBLESS LEMA YAKUTANA NA PINGAMIZI KALI SHUHUDIA TUKIO HILI HAPA...

Hotuba ya Kiongozi wa Kambi ya Upinzani ya Msemaji Mkuu wa Wizara ya Mambo Ndani ya Nchi, Godbless Lema imezuiliwa kusomwa.

Imezuiliwa kusomwa mpaka kwanza kamati ya Kanuni ya Bunge iipitie hotuba hiyo kabla ya kusomwa bungeni ili kuangalia kama hotuba hiyo imekiuka kanuni za Bunge.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright NEWZ | Designed By AFROPIXELS MEDIA CO. LTD
Back To Top