Loading...
Home »
Unlabelled »
AJALI MBAYA YATOKEA MUDA HUU NA KUUA WATU NA KUJERUHI WENGINE
Watu wanne wamekufa papo hapo katika ajali iliyotokea eneo la Mapinga wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani baada ya magari matatu yaliyokuwa yamebeba watumishi wa Halmashauri,waliokuwa kwenye msafara wa Naibu Waziri wa Tamisemi kugongana na Lori.
Monday, 21 March 2016
Post a Comment