Loading...
Home
»
MATUKIO
»
NEWS
»
SAKATA LA HATI FUNGANI: Kesi ya Aliyekuwa Kamishna Mkuu wa TRA, Harry Kitilya na wenzake 2 Imehairishwa
SAKATA LA HATI FUNGANI: Kesi ya aliyekuwa Kamishna Mkuu wa TRA, Harry Kitilya na wenzake 2 imehairishwa tena mpaka Mwezi Mei tarehe 3.Sababu ya kuhairishwa ni kutokana na jalada halisi la kesi kupelekwa Mahakama Kuu baada ya kukatwa kwa rufaa ya kufutiwa shtaka namba nane la utakatishaji fedha.
Post a Comment