Loading...

PICHA 12: PROFESA JAY APOKEWA KAMA MFALME...MIKUMI YAFURIKA KWA UMATI WA WATU KISA MBUNGE WAO AMERUDI NA NEEMA KUBWA YA KUFUTA VILIO VYAO

April 24 2016 mbunge wa jimbo la Mikumi Joseph Haule ambaye wengi tumemzoea kwa jina la Profesa Jay amerudi tena jimboni kwake na kuendelea kuhakikisha ahadi zake za kuleta maji safi na salama katika jimbo lake zinatekelezeka kwa vitendo na sio maneno matupu.
1 (7)
Profesa Jay April 24 2016 alirudi katika jimbo la Mikumi kijiji cha Ruembe kutoa shukrani kwa wananchi kwa kumchagua, hiyo ilikuwa ni baada ya kutoa msaada wa mabomba yenye thamani ya Tsh Milioni 10 kata ya Ruaha jimbo la MikumiProfesa Jay anapeleka msaada huo ikiwa ni siku nane zimepita toka April 16 alivyotembelea eneo hilo.

1 (5)

1 (8)

1 (10)

1 (14)

b (1)

b (3)

b (4)




1 (1)

1 (3)

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright NEWZ | Designed By AFROPIXELS MEDIA CO. LTD
Back To Top