Kufuatia taarifa hiyo serikali ya nchi hiyo imepiga marufuku ya kufanya maandamano au kupinga ushindi wa mwezi Februari wa Rais Museveni hadharani.
Kiongozi wa Kambi ya Upinzani ambaye alitarajiwa kuongoza maandamano amewekewa kizuizi tena nyumbani kwake na haruhusiwi kutoka nje.
Aidha Mji wa Kampala umezingirwa na wanajeshi huku vyombo vya habari vikiarifiwa kutokufanya matangazo ya moja kwa moja kuhusiana na kupingwa kwa ushindi wa Rais Museveni.
Post a Comment