Loading...

Mr II Sugu Kuhojiwa na CloudsTV Kwa Mara ya Kwanza Toka Amalize Tofauti


Joseph Mbilinyi ameanza ku-trend kwenye mitandao ya kijamii kupitia tangazo linaloonyesha atahojiwa na CloudsTV Ijumaa May 27 2016, ameanza kutrend hata kabla Interview yenye haijaonyeshwa na hii ni kutokana na sababu kadhaa ikiwemo ya kuwa hii ni Interview yake ya CloudsTV ya kwanza toka amalize tofauti zake na CMG.

Mbunge huyu wa Mbeya mjini ambaye ni mmiliki wa single mpya ya Freedom aliipost hii picha kwenye page yake ya Instagram na kuonyesha wazi ameshaachana na tofauti zilizokuwepo na kwa roho safi maisha yanaendelea bila beef : ‘Rapper/MP/ CEO / AUTHOR / BUSINESSMAN /INVESTOR ni kesho asubuhi Freedom to all media, freedom from beefs’

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright NEWZ | Designed By AFROPIXELS MEDIA CO. LTD
Back To Top