Loading...

HABARI YA HIVI PUNDE: MAAMUZI YA KESI KAFULILA YAACHA WATU KATIKA BUMBUWAZI ZITO NA HIKI NDICHO KILICHO AMULIA HIVI LEO....


TABORA: Aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila ameshindwa katika kesi aliyoifungua kupinga ushindi wa Hasna Mwilima wa CCM.

Kesi ilifunguliwa katika Mahakama Kuu Kanda ya Tabora na ilikuwa chini ya Jaji Ferdinand Wambari.

Katika kesi hii upande wa mlalamikaji (Kafulila) uliongozwa na mawakili Prof. Abdallah Safari, Tundu Lissu na Daniel Lumenyera, Ili hali upande wa mlalamikiwa (Husna) uliongozwa na wakili Kennedy Fungamtama pamoja na Mawakili wa Serikali upande wa mwanasheria mkuu wa Serikali.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright NEWZ | Designed By AFROPIXELS MEDIA CO. LTD
Back To Top